KILA LA HERI TAIFA STARS.

 Majira ya saa moja usiku leo Jumanne, Tanzania itaanza kampeni ya michuano ya CHAN inayofanyika nchini Cameroon kwa mchezo dhidi ya Zambia

Mchezo huu wa ufunguzi ni muhimu kwa Tanzania kuhakikisha matokeo mazuri yanapatikana ili kufikia malengo ya kuvuka hatua ya makundi

Stars ilikamilisha maandalizi yake ya mwisho jana jioni tayari kwa mchezo huo

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form