MSIMAMO/ MATOKEO NA RATIBA YA MICHEZO MBALIMBALI LIGI KUU NCHINI UINGEREZA

Klabu ya Liverpool imefanikiwa kurejea kileleni mwa ligi kuu nchini uingezeza baada ya kuichapa klabu ya Totenham mabao mawili kwa moja katika mchezo uliochezwa siku ya juma tano.
Klabu ya Manchester united wakiwa na michezo miwili mkononi wanatarajia kushuka dimbani leo Alhamisi kuminyana na Shefield Utd majira ya saa tano usiku.
Endapo Manchester united watafanikiwa kushindwa michezo yao yote miwili weatapanda hadi nafasi ya pili wakiwa na jumla ya pwent 26 pwenti mbili nyuma ya vinara wa ligi hiyo.
MSIMAMO LIGI KUU NCHINI UINGEREZA
PosTeamPWDLGDPts
1Liverpool138411028
2Tottenham137421325
3Southampton13733724
4Leicester13805724
5Everton13724523
6Chelsea136431222
7West Ham13634521
8Man City12552620
9Man United11623220
10Wolves1362520
11Aston Villa10604818
12Crystal Palace13535118
13Leeds12526-217
14Newcastle12525-517
15Arsenal13427-514
16Brighton1325611
17Fulham13238-109
18Burnley11236-129
19West Brom13148-167
20Sheffield Utd120111-161

MATOKEO

Juma nne, December 15

Jumatano, December 16

Leeds 5-2 Newcastle 

Leicester 0-2 Everton 

Fulham 0-0 Brighton 

Thursday, December 17

Aston Villa vs Burnley 

Sheffield United vs Manchester United 

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form