MATIP KIBINDONI WIKI TATU.


cha mkuu wa klabu ya Liverpool Jorgen Kloop amethibitisha mlinzi wa klabu hiyo ambae pia amekuwa akitumika kama kiungo Joel Matip kuwa nje ya mchezo kwa muda wa wiki tatu.

Hii ni kutokana na majeraha akliyoyapata katika mchezo wao uliotoka suluhu dhidi ya Westbrom hali iliyopelekea kutoka kabla ya mchezo kuisha.

Lioverpool bado inazidi kuwa kwenye wakati mgumu katika upande wa ulinzi, kutokana na kuwakosa mabeki wao muhimu kama vile Virgil Van Djik na Joe Gomez ambao hawategemewi kurejea siku za karibuni.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form