LIVERPOOL WALAZIMISHWA SARE UGENINI.

 Klabu ya liverpool jana imelazimishwa sare ya bila kufungana na Newcastle katika mchezo uliochezwa majira ya saa tano usiku.

Sare hiyo inaifanya liverpoo kufikisha jumla ya pwenti 33 wakiwa wamecheza michezo 16.

Endapo Manchester united watashinda mchezo wao leo dhidi ya Aston Villa wataweza kufikisha pwenti 33 sawa na liverpool, ila liverpool wataendelea kusalia kuleleni mwa ligi hiyo kutokana na tofauti ya magoli.

Mchezo wa Manchester united na Aston Villa utachezwa kesho ijumaa majira ya saa tano usiku. 

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form