BREAKING NEWS: MCHEZO KATI YA TOTENHAM NA FULHAM UMEAHIRISHWA


Siku ya leo Klabu ya Totenham ilitarajia kuwaalika Fulham katika dimba lao la nyumbani kucheza mhezo wao wa mzunguko wa 15.
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba mchezo huo umeahirishwa rasmi mpaka tarehe iutakapotangazwa.
Sababu za kuahirishwa kwa mhezo huo ni maambukizi makubwa ya ugonjwa wa korona (COVID-19) miongoni mwa wachezaji pamoja na viongozi na benchi la ufundi la klabu ya Fulham.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form