BRUNO FERNANDES AZIDI KUWEKA REKODI EPL/ AMFUNIKA DEBRUYNE

 


Baada ya ushindi wa mabao matatu kwa moja katika mchezo wa jana kati ya Manchester united na Westham,  kiungo wa manchester united Bruno Fernandes amezidi kuweka rekodi na kuwa tishio katika ligi hiyo.

Mpaka sasa kiungo huyo ana kumla ya mabao 7 na Assist 4 katika ligi hiyo,  akiwa amehusika katika jumla ya mabao 11 nyuma ya Mshambuliaji wa Totenham Harry Kane ambae amehusika kwenye mabao 16.

Rekodi hii inamfanya kuwa juu ya viungo hatari kama vile Kelvin De Bruyne wa Manchester City.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form