BARCELONA YAZIDI KUWA KWENYE WAKATI MGUMU MBIO ZA UBINGWA LALIGA

 


Klabu ya barcelona imezid kuwakatika wakati mgumu kutokana na muendelezo wa matokeo mabovu katika ligi kuu nchini Uhispania.

Hii ni baada ya kupoteza mchezo wao wa jana kwa mabao mawili kwa moja dhidi ya Cardiz.

Hali hii inafanya mabingwa hao wa kihistoria kuwa nyuma wa vinara wa ligi hisyo Atletco Madrid kwa jumla ya pwenti 12.

Hata hivyo rekodi zinaonesha kwamba katika historia ya ligi hiyo hakuna timu iliyowahi kuwa bingwa baada ya kuwa nyuma ya vinara kwa pwenti 12 au zadi.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form