TAZAMA ORODHA YA WACHEZAJI WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA FIFA/ LIVERPOOL WATAWALA.

 Klabu ya Liverpool imefanikiwa kuingiza wachezaji wanne kati ya wachezaji 11 walioteuliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wakiume wa FIFA. 



Miongoni mwa wachezaji hao  ni pamona na

Lionel Messi ambae kwa sasa anachezea klwabu ya Barcelona

Mohamed Slah (Liverpool)

Sadio Mane (Liverpool)

Thiago Alcantara (Liverpool)

Virgol Van Djik (Liverpool)

Christiano Ronaldo (Juventus)

Kylian Mbappe (PSG)

Neymar (PSG)

K. Debruyne (ManCity)

R. Lewandowisk (Bayern Munchen)

Sergio Ramos (Real Madrid)

Hata hivyo mshambuliaji wa klabu ya Bayern Munchen Roberto Lewandowisk pamoja na kiungo wa Manchester Cuty Kelvin Debruyne ni moja kati ya wachezaji wanaopigiwa upato mkubwa wa kushinda tuzo hyo baada ya magwiji wa muda mrefu Lionel Messi na C. Ronaldo kutofanya vizuri katika siku za uson.


Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form