MANCHESTER UNITED WAZIDI KUNGURUMA UEFA 2020.

 Klabu ya Manchester united imezidi kuonesha ubora wake katika ligi ya mabingwa ulaya (UEFA) baada ya kuich apa klabu ya Instanbul mabao manne kwa moja. 

Mabao hayo yalifungwa na Bruno Fernandes dakika ya 7, 19     Marcus Rashford dakika ya 35 huku bao la mwisho la klabu hiyo likiwekwa wavuni na winga Daniel James dakika ya 90.

Bao pekee la Instanbul lilifungwwa na     Deniz Turuc dakika ya 75.

Kwa sasa Manchester United wanaongoza kundi H wakiwa na jumla ya pwent 9 huku wakiwa wamecheza michezo minne, nafasi ya pili inashikiliwa na vinara wa ligi kuu ufaransa PSG wakiwa na jumla ya pwent 6 huku nao wakiwa wamecheza michezo minne.


Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form