MESSI AWEKA REKODI MPYA KATIKA KARNE YA 20.

Baada ya klabu ya Barcelona kupata ushindi katika mchezo wao dhidi ya Villadolid wa bao moja kwa sifuri bao ambalo limefungwa na Vidal dakika ya 15 baada ya kupata assist kutoka kwa Messi, imemfanya Messi kuwa mchezaji wa pili katika karne ya 20 kufunga mabao zaid ya ishirini  na assist ishirini (20) katika ligi tano bora duniani. Mbali na Messi mchezaji mwingine aliwewahi kufanya ivo katika karne ya 20 ni  Thiery Hendry akiichezea klabu ya Arsenal mwaka 2002/3.
Ikumbukwe kwamba mpaka sasa ikiwa imebakia michezo miwili (baada ya michezo ya wikendi hii) ligi kuu Hispania iweze kuisha Messi anaongoza ligi hiyo kama mfungaji bora akiwa na jumla ya mabao 22 na assist 20.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form