RASMI: BENZEMA ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI LA LIGA.

Mchezaji wa Real Madrid Kareem Benzeama amekabidhiwa rasmi tuzo ya mwezaji bora katika ligi kuu Hispania mwezi Juni. 

Ikiwa Real Madrid wameshinda michezo yao yote tangu kurejea kutoka mapumziko ya COVID-9, Benzema amefanikiwa kuifungiwa klabu hiyo mabao matatu (3) katika mwezi Juni, mpaka sasa akiwa na jumla ya mabao kumi na saba (17) akiwa nyuma ya Messi ambae anaongoza orodha hiyo kwa mabao matano (5).

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form