MATOKEO LALIGA.


LEVANTE 1-1 SEVILLA 

De Jong 46' (Sevilla)
Carlos  87' (OG)

Klabu ya Levante imeendeleza rekodi yake ya kupata mabao ya kusawazisha katika dakika za mwisho mara baada ya kufanya hivyo katika mechi yao dhidi ya Valencia dakika ya 90+8'.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form