Klabu ya soka inayoshiriki ligi kuu Ujerumani Bayern Munchen wanahitaji pwenti tatu pekeyake kutangaza ubingwa wa ligi hiyo baada ya kushinda mchezo wao dhidi ya klabu ya Monchengladbach.
Kwa sasa Bayern wanaongoza BUNDESLIGA wakiwa na pwenti 73 mbele ya Burussia Dortmund ambao wana pwenti 66.Iikiwa imebakia michezo mitatu ligi hiyo iweze kumalizika.
Hivyo klabu ya Bayern Munchen wanahitaji kushinda mechi yao dhidi ya Werder ili kuweza kutangaza ubingwa huo wa kihistoria kwa mara ya nane mfululizo tangu 2013.
Tags
SPORTS NEWS