KLABU YA YANGA YAFANYA MAAMUZI MAGUMU.


Klabu ya soka ya Yanga imefanya maamuzi magumu ya kuvunja mkataba na katibu mkuu wa klabu hiyo David Ruhango ikizingatia manufaa ya pande zote mbili.
Wakili Simon Patrick ambae kwa sasa ni mkurugenzi wa sheria na wanchama atashikilia nafasi hiyo kwa kipindi cha mpito wakati klabu hiyo ikiendelea na mchakato wa kumpata katibu mkuu wa kudumu.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form