TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA: SOLSKJAER BADO HAJAKATA TAMAA KWA GREALISH.

 

Mbali na jitiada za kumnasa kiungo wa klabu ya Aston villa kufeli mwaka jana Septemba, Kocha wa Manchester United ameonesha kuwa bado anania ya kumnasa kiungo wa Aston Villa Jack Grealish katika dirisha dogo la usajili mwezi januari.

Lengo ni kuimarisha kikosi chake hususani katika eneo la ushambuliaji ambalo limeonekana kuwa butu kwa muda sasa. Imeripotiwa na gazeti la DAILY MAIL.

Grealish kwa sasa amecheza michezo 14 ya ligi akiwa amefunga mabao 5 na pasi za mabao 6.


Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form