TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA: MAN CITY WAZAMA KWENYE DILI LA KANE.

 Klabu ya manchester city inahusishwa na juhudi za kunasa saini ya straika wa klabu ya Totenham Harry Kane.

Ripoti zinaonesha kuwa klabu ya manchester City imeandaa dau nono la Yuro milion 88.7 kunasa saini ya mshambuliaji huyyo mwenye umri wa kiaka 27 ambae kwa sasa Kane ana mkataba na klabu ya Totenham ambao unaisha mwaka 2024.

Kane ameonesha kiwango cha hali ya juu msimu huu akiwa amefunga mabao 9 na pasi za mwisho 10 katika michezo 15 ya ligi kuu Uingereza.



Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form