RATIBA YA EPL LEO JUMA PILI JANUARI 3 / MOTO UNAWAKA STANFORD BRIDGE

Mchezo kati ya Manchester City na Chelsea ni moja kati ya michezo mikubwa inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki kutoka pande mbalimbali za dunia kutokana na umuhimu wake kwa pande zote mbili pamoja na upinzini mkubwa ambao unaoneshwa na vilabu vyote vya ligi kuu wingereza.

Manchester City kwa saa wanashikilia nafasi ya 8 wakiwa na pwenti 26 baada ya kucheza michezo 14 tu, endapo watashinda mchezo wa leo watafikisha pwenti 29 huku wakiwa wamesalia na mchezo mmoja mkononi.

Kwa uapnde wa chelsea kwa sasa wanashikilia nafasi ya 6 wakiwa na pwenti 26 sawa na Man city wakiwa na tofauti ya magoli tu, nao wataenda kusaka ushindi kwa hali na mali ili kuwawezesha kupanda zaidi katika msimamo wa ligi iyo.

Leicester nao hawapo nyuma wanacheza mchezo wao wa 17  dhidi ya Newcastle wakiwa na pwenti 29 hadi sasa wakishikilia nafasi ya 4.

Newcastle vs Leicester (11:15 jioni)

Chelsea vs Man City (1:30 Usiku)

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form