MJEMBE SITA YA YANGA TAYARI YAMERIPOTI KAMBINI TAIFA STARS KWAAJILI YA MICHUANO YA CHAN

 Wachezaji sita wa Yanga walioitwa katika kikosi cha timu ya Taifa kwa ajili ya michuano ya CHAN, tayari wameripoti kambini kwa ajili ya maandalizi ya michuano hiyo

Yassin Mustafa, Bakari Nondo, Feisal Salum, Deus Kaseke, Farid Mussa na Ditram Nchimbi wote wamejumuishwa katika kikosi cha kocha Etienne Ndayiragije

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form