KUMEKUCHA, KAGERE AMKATAA BABA YAKE LIVE.



Baada ya uvumi kuvuma kwa muda mrefu sasa kuhusu mzee anaedai kuwa baba mzazi wa mchezaji nguli wa klabu ya simba Medie kagere, hatimae nyota huyo wa Simba amejitikeza hadharani na kupinga vikali shutuma hizo kuwa hana baba Tanzania.

Vedastu katorogwa anaedai kuwa baba mzazi wa mchezaji wa simba sc meddie kagere  alinukuliwa akisema yafuatayo,

"Nikasema inabidi nionane na viongozi lakini mpaka sasa kiongozi niliyeonana naye ni yule wa simba sc anayeitwa Abbas, nikamuelezea akaniambia nitamuona Kagere nimwambie"

 Kagere alimkataa kabisa na kudai kuwa yeye hana baba Tanzania.

Kagere alinukuliwa akisema.,  "mimi sina ndugu huku, ndugu zangu wapo south africa" 

 Hata hivyo mzee huyo aliongezea kwa kusema kuwa , "mimi na kagere tuonane ikiwezekana hata dna tupime" 


 

 


Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form