VAN DJIK KUREJEA RASMI.

 


Beki wa katI wa klabu ya Liverpool Virgil Van Djik ambae alikua nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na majeraha amenaswa akifanya mazoezi hali inayo ashiria kuwa beki huyo wa kati yupo mbioni kurejea dimbani na kuisadia klabu yake ya Liverpool katika mbio za ubingwa wa EPL 2020/2021.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form