LIGI KUU NCHINI UINGEREZA KUREJEA JUMA MOSI HII, TAZAMA MSIMAMO / RATIBA YA MICHEZO MBALIMBALI LEO JUMA MOSI DISEMBA 5

 


Ligi ncini uwingereza inategemea kurejea dimbani kwa michezo mbalimbali itakayochezwa leo juma mkosi disemba 5.

Imethibitishwa kwamba kwa baadhi ya viwanja watarusiwa mashabiki 2,000 kutokana na kulegezwa kwa masharti yanatokana na ugonjwa wa Korona.

Aidha mchezo uliotegemewa kuchezwa siku ya ijumaa tarehe nne kati ya Aston Villa na Newcustle uliahirishwa kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa korona.

MSIMAMO WA LIGI KUU NCHINI UWINGEREZA 

PosTeamPWDLGDPts
1Tottenham106311221
2Liverpool10631521
3Chelsea105411219
4Leicester9603618
5West Ham10523617
6Southampton10514317
7Wolves10523017
8Everton10514216
9Man United9513016
10Aston Villa9504715
11Man City9432315
12Leeds10424-414
13Newcastle10424-314
14Arsenal10415-213
15Crystal Palace10415-313
16Brighton10244-210
17Fulham10217-87
18West Brom10136-116
19Burnley9126-135
20Sheffield Utd10019-121

RATIBA
IJUMAA, Disemba 4

Aston Villa vs Newcastle (Imeahirishwa)

JUMAMOSI,  Disenba 5

Burnley vs Everton (12.30pm)

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form