SALAH AISAWAZISHA LIVERPOOL KWA PENALTI YATOA SARE NA FULHAM




Mshambuliaji Mmisri, Mohamed Salah akiifungia bao la kusawazisha Liverpool kwa penalti dakika ya 79 baada ya Bobby Decordova-Reid kuanza kuwafungia Fulham dakika ya 25 katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Craven Cottage, London

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form