Granit Xhaka wa Arsenal (kulia) akimkunja Ashley Westwood wa Burnley kabla ya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 56 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Emirates, London. Burnley ilishinda 1-0, bao la kujifunga na Nahodha Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 73
Tags
SPORTS NEWS