ROBERTO LEWANDOWSK ATAJWA RASMI KAMA MCHEDZAJI BORA WA FIFA 2020

 


Mshambuliaji wa klabu ya Bayern Muchen ametajwa rasmi kama mchezaji bora wa kiume wa FIFA kwa mwaka 2020.

Lewandowsk amewashinda wapinzani wake wa karibu Lionel Messi na C. Ronaldo ambao kwa pamoja waliingia katika nafasi tatu za juu. Messi ndo alikua bingwa mtetezi wa tuzo baada ya kuishinda mwaka 2019.

Lewandowsk amefanikiwa kushinda tuzo hiyo kutokana na mafanikio makubwa aliyoyapata na klabu yake ya Bayern Muchen mwaka 2019/2020, moja kati ya mafanikio hayo ni kuishonda ligigi ya Ujerumani, kushinda kombe la DFB-Pokal pamoja na ushindi wa ligi ya mabingwa barani Ulaya (Champions League).


 Lewandowsk pia bamefanikwa kufunga jumla ya mabao 45 katika msimu wa 2019/2020 pamoja na kushinda mataji matano.


Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form