MTOTO WA LEGEND WA MANCHESTER UNITED WAYNE ROONEY RASMI AMESAJILI MKATABA NA KLABU YA MANCHESTER UNITED.

 

Katika historia ya wachezaji waliowahi kufanya mambo makubwa katika klabu ya Manchester united huwezi kulikosa jina la legend Wayne Rooney, Rooney aliweka rekodi mbalimbali katika klabu hiyo kwamfano kufunga jumla ya mabao 253 akiwa na klabu hiyo ya Old Traford.

Mtoto wa legend Rooney anaefahamika kwa jina la Kai mwenye umri wa miaka 11 amesaini mkataba na klabu ya manchester united kama heshima ya legendi huyo, hata hivyo klabu inategemea mambo makubwa kutoka kwa mtoto huyo mwenye kipaji kikubwa.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form