BREAKING NEWS : MCHEZO KATI MANCHESTER CITY NA EVERTON UMEAHIRISHWA.

Mchezo kati Manchester City na everton uliotarajiwa kuchezwa siku ya leo umeahirishwa rasmi.

Hatua hii imechukuliwa kutokana na hofu ya maambukizi ya ugonjwa wa korona. Hii ni kutokana na kuwepo kwa baadhi ya wachezaji na mashabiki wa klabu ya manchester city kugundulika kuwa na maambukizi ya korona.

 Siku ya ijumaa tarehe 25,  klabu ya manchester city ilithibitisha baahi ya wachezaji wake na viongozi kuwa na maambukizi ya COVID-19,  wachezaji hao ni Gabriel jesus na Kyle Wolker.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form