COSAFA YAENGUA TIMU NNE KATIKA MASAHINDANO YA AFCON U17.

 


Baraza la michezo ya mpira wa miguu kusini mwa Africa COSAFA, limetangaza kuziondoa timu nne rasmi katika mashindano hayo ya vijana chini ya miaka 17.

Hatua hiyo imechukuliwa mara baada ya baadhi ya wachezaji wa timu hizo kufeli vipimo vya umri kwa kukutwa na umri mkubwa zaidi ya miaka 17.

Timu hizo ni 

Botswana 

Comoros

Eswatin na

Zimbabwe.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form