SUPPER SUNDAY DERBY

Leo juma pili ni moja kati ya siku za kihistoria katika uma wa mashabiki wa mpira wa miguu Tanzania, leo kutakuwa na mchezo utakaowaukutanisha mahasimu wa jadi kutoka Jijini Dar es salaam Simba na Yanga katika kombe la shirikisho.

Ikumbukwe kwamba tangu mwaka 2010 vilabu vya Simba na Yanga vieweza kukutana mara 22 huku Yanga wakishinda michezo 7 na Simba wakishinda michezo 6 na sare 9.
Endapo simba watashinda mchezo huu watakuwa mamebalance rekodi na yanga kwa kufungana michezo 7 kila mmoja.

Mchezo huu utaanza majira ya saa kumi na moja jioni katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form