SPORT: MATUKIO

Man city waonesha umwamba dhidi ya Liverpool baada ya kuwapiga mabao manne kwa sifuri, huku Totenham wakizidi kupoteza matumaini ya kuingia katika nafasi nne za juu katika ligi kuu Uingereza.


Real Madrid nao wazidi kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda ubingwa wa LALIGA baada ya kushinda mchezo wao dhidi ya Getafe kwa bao moja kwa sifuri.
Ushindi huo unawafanya kuendelea kushikilia nafasi ya kwanza katika msimamao wa ligi hiyo wakiwa na jumla ya points 74 pwent nne mbele ya Barcelona huku ikiwa imesalia michezo mitano ligi hiyo iweze kumalizika.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form