MATUKIO YA USAJILI: RASMI SANE ATUA BAYERN MUNCHEN.

Mchezaji ya klabu ya Manchester City Leroy Sane amekamilisha usajili wake kijiunga na klabu ya Bayern Munchen ya huko Ujerumani kwa dau la Euro milion 54.8.

Mara baada ya kukamilisha usajili huo Sane alieleza vyombo vya habari kwamba anayo furaha sana kujiunga na moja kati ya klabu kubwa diniani, na ana ndoto za kushinda mataji mengi  na klabu hiyo hususani kombe la mabingwa ulaya (UEFA) likiwa kama kipaumbele chake kikubwa.
Hata hivyo, mbali na usajili huo klabu ya Bayern Munchen pia imetumia nafasi hiyo kuomba msamaha kwa Manchezter City kwa kosa la kuvujisha picha za Sane kama mchezaji wao huku mchakato wa usajili ukiwa bado haujakamilika.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form