Mchezaji wa klabu ya Ral Madrid Eden Hazard anatarajia kurejea mchezoni baada ya madaktari kuthibitisha kuwa kwa sasa yupo fiti. Hii ni baada ya kusumbuliwa na majeraha ya muda mrefu yaliyomuweka nje ya uwanja kwa muda mrefu kabla ya mapumziko ya Ugonjwa wa Korona.
Kocha wa akademi ya klabu ya Real Madrid Arbeola, amedai kwamba ameridhishwa na kiwango cha Eden Hazard mara baada ya kurejea mazoezini na anategemea makubwa kutoka kwake. Ameiambia Real Madrid TV.
Tags
SPORTS NEWS