RATIBA YA EPL LEO JUMA PILI FEBRUARY 7 / NI VITA YA MAN CITY NA LIVERPOOL


 Mchezo kati ya klabu ya Liverpool na Manchester City ni moja kati ya michezo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wanasoka wengi ususani kutokana na upinzani nkali kati ya vilabu vyote viwili pamoja na ubora wa vikosi hivyo.

Katika michezo iliyopita Liverpool wameonekana kutokufanya vizur baada ya kupoteza mchehzo wao uliopita kwa bao moja kwa sifuri dhidi ya Brighton. 

Liverpool wamepoteza mchezo mmoja pekeyake katika michezo 29 iliyochezwa katika uwanja wao wa nyumbani dhidi ya Man City wakiwa wametoa sare 19 na kushinda mara 9.

Ikumbukwe kwamba Livepool hwajafanikiwa kupata goli hata moja katika michezo mitatu iliyopita katika uwanja wao wa nyumbani.

kwa upande wa manchester City wamefanikiwa kushinda michezo 13 mfululizo iliyopita.

Spurs vs West Ham (15:30)

Wolves vs Leicester (17:00)

Liverpool vs Man City (10:30)

Sheffield Utd vs Chelsea (22:15)

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form