TETESI ZA USAJILI: SANCHO MBIONI KUJIUNGA NA MANCHESTER UNITED.

Ripoti zinaonesha kuwa kuna mazunguzo yanaendelea kati ta manchester united na Burussia Dortmund juu ya usajili wa Jordon Sancho.
Winga huyo mwenye umri wa miaka 20 amefunga mabao 17 na assist 17 katika michezo 32 aliyocheza katika ligi kuu Ujerumani.

Hata hivyo, imeonekana kuwa na tofauti kubwa katika dau la kukamilisha usajili huo ambapo Burrussia wanahitaji zaidi wa  Euro milioni 100 huku Manchester united wkiishia kwenye Euro milioni 50.
Hali inayopelekea matumaini ya Manchezter United kunasa saini ya mchezaji huyo kushuka kwani hadi sasa bado ana mkataba wa miaka miwili na klabu yake. 

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form