RATIBA YA MICHEZO MBALIMBALI LEO JUMA TATU JULAI 13.

Endapo Manchester United watashinda mchezo wao wa leo dhidi ya Southampton wataweza kusogea hadi nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi kuu nchini Uingereza, huku Real Madrid wakitarajia kushinda mchezo wao dhidi ya Granada ili kuongeza uhakika katika mbio za ubingwa wa LA LIGA.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form