RAMOS AZIDI KUWEKA REKODI LIGI KUU HISPANIA.

Baada ya kufunga bao moja kwa mkwaju wa penati dhidi ya Atletic Club, Sergio Ramos ameweka rekodi za kuwa mchezaji pekee wa ligi ya hispania kufunga mabao 5 tangu kurejea kwa ligi kutoka mapumziko ya COVID-19.


Mbali na hivyo, pia amekuwa beki wa kwanza wa kati kufunga jumla ya mabao 10 katika msimu mmoja ndani ya ligi kuu hispania tangu alipofanya hivyo Fernando Hierro katika msimu wa 1993/94.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form