BRUNO FERNANDEZ ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI KATIKA LIGI KUU UINGEREZA.

Mchezaji wa klabu ya Manchester unite Bruno Fernandez azidi kun'gara katika ligi nchini Uingereza  baada ya kushinda tuzo ya mcezaji bora wa mwezi Juni katika hiyo.

Bruno ni moja kati ya wachezaji waliofanya vizuri zaidi katika msimu huu tangu ajiunge na Man Utd mwezi wa pili mwaka huu, akiwa ameweka na kuvunja rekodi mbalimbali katika ligi hiyo.
Tangu ajiunge na Man Utd Bruno amecheza jumla ya michezo 10 katika ligi huki akiwa amefunga mabao 6 na assist 7.
Katika mwezi juni pekeyake amecheza michezo 5 huku akiwa amefunga mabao 4 na assist 1.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form