SANE AGOMA KUSAINI MKATABA MPYA.

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amethibitisha kuwa Leroy Sane amekataa kusaini mkataba mpya na klabu hiyo zaidi ya mara mbili sasa, hivyo kama kutakuwa na maelewano mazuri kati ya Man City na Klabu nyinge Sane ataruhusiwa kuondoka katika klabu hiyo,

"Iwapo kutakuwa na maelewano mazuri kati vilabu viwili basi Sane ataruhusiwa kuondoka, la sivyo ataendelea kutumikia klabu hiyo mpaka mwisho wa mkataba wake"  GUARDIOLA

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form