RASMI SIMBA WATANGAZA UBINGWA LIGI KUU TANZANIA.

Kkabu ya mpira wa miguu Simba Sports club imetangazwa kuwa mabingwa rasmi wa ligi kuu ya Tanzania baada ya kutoa sare ya bila kufungana dhidi ya Tanzania prisons.

Simba wanatangaza ubingwa huo wakiwa na jumla ya pwenti 79 huku wakishinda michezo 25, sare 4 na kupoteza mara 3.

Ubingwa huu unawafanya klabu ya Simba kufikisha taji lao la 21 katika historia ya ligi kuu Tanzania bara.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form