RASMI: ARTHUR AKAMILISHA USAJILI KUHAMIA KLABU YA JUVENTUS.

Klabu ya Barcelona na Juventus wamefikia makubaliano juu ya uhamisho wa mchezaji wa Barcelona Arthur Melo kujiunga na Juventus kwa dau la jumla ya Euro milioni 72.

Ikumbikwe kwamba Arthur alijiunga na klabu ya Barcelona kwa mara ya kwanza mwaka 2018 kutoka kalbu ya Gremio, huku akiwa amecheza jumla ya michezo 72 katika mashindano yote na kufanikiwa kufunga magoli 4.

Aidha, mchezaji huyo ataendelea kuitumikia klabu yake ya sasa mpaka mwisho wa msmu huu ndipo atakapojiunga rasmi na klabu yake mpya.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form