NYOTA WA ZAMANI WA BRAZILI PELLE AMETOA SABABU KWANINI ANADHANI KUWA C. RONALDO NI BORA KULIKO MESSI.



Nyota huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Brazili amedai kuwa yeye kwa mtazamo wake anaona kuwa Christiano Ronaldo ni bora kuliko Lionel Messi kwasababu Ronaldo ndo mchezaji pekee mwenye uwezo wa kufanya vizuri katika mashindano yote. 

Nukuu ya maneno aliyosema Pelle wakati akihijiwa na Chaneli ya YouTube ya Pilhando Per Daily Mail.

"Leo mchezaji bora zaidi ulimwenguni ni Christiano Ronaldo, Nadhani ndiye bora zaidi kwasababu yeye ni thabiti lakini huwezi kusahau kuhusu Lionel Messi"

Pelle ameelaza zaidi kuwa ni swali ngumu sana pale mtu unapoulizwa swala la mchezaji bora zaidi ulimwenguni, kwani kuna wachezaji bora wengi kama Messi, Ronaldinho na wengine.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form