Dyabala ambae awali aliathirika na virusi vya Corona ametajwa kuwa bado ni sehemu muhimu ya klabu hiyo katika mbio za ubingwa wa taji la Serie A dhidi ya mahasimu wao wa karibu Lazio na Inter Millan.
aidha juventus wanaendelea na kampeni yao ijumaa jioni Dhidi ya Millani kenye Coppa Italia. Huu ni mchezo wa kwanza kurudi katika ligi ya Italia msimu wa 2019/2020 kufuatia mapumziko marefu yaliyotokana na ugonjwa wa Covid 19.
Tags
SPORTS NEWS