Klabu ya Real madrid imerudi kwenye ligi kwa kishindo baada ya kuifunga Eibar mabao matatu kwa moja. Ushindi huo unawafanya kuendelea kusalia katika nafasi ya pili wakiwa na jumla ya pwent 59, pwenti mbili nyma ya vinara kwa ligi hiyo Barcelona ambao wana jumla ya pwent 61.
REAL MADRID 3-1 EIBAR
Toni Kroos 4' (Madrid)
Sergio Ramos 30' (Madrid)
Marcelo 37' (Madrid)
Pedro Bigas 60' (Eibar)
Tags
SCORES