MARTIAL AWEKA REKODI MPYA MANCHESTER UNITED.

Mchezaji wa Mnchester United Anthony Martial aweka rekod mpya ya kufunga mabao matatu katika mchezo mmoja (Hat-trick) jambo ambaalo hajawahi kufanya tangu ajiunge na klabu hiyo. Martial amefunga mabao hayo kutokana na ushirikianao mziri na wachezaji wengine kama Rashford ambae ameassist mabao mawili na Bissaka ambae ameassist bao moja.

Hata hivyo pia Martial amekuwa mchezaji wa kwanza wa Manchester United kufunga Hat-trick kwa kipindi cha miaka saba.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form