LIVERPOOL WASHINDA TAJI LIGI KUU UINGEREZA BAADA YA MIAKA 30.


Klabu ya Liverpool wameshinda taji lao la kwanza baada ya kipindi cha miaka 30 bila kushinda taji hilo. Hii ni baada ya klaby ya Manchester City kupoteza mchezo wa 2-1 dhidi ya Chelsea.
Mbali na kusnda taji hilo liverpool pia wamevunja rekodi za manguli mbalimbali nchini uingezeza kama vile Manchester united na Manchester City baada ya kushinda taji hilo huku wakiwa wamebakiza jumla ya michezo 7.  Manchester United chini ya Sir Alex walishinda ubingwa huo wakiwa mamebakiza michezo 5 mwaka 2000/2001, huku Manchester City nao wakitwaa taji hilo chini ya Pep Guardiola wakiwa wamebakiza michezo 5 mwaka 2017/2018.
Pia klabu ya Liverpool wametwaa ubingwa huo huku wakiwa wamepoteza mchezo mmoja pekee, mchezo waliofungwa 3-0 na klabu ya Watford. Pia wametoa sare moja pekeyake dhidi ya klabu ya Manchester United 1-1 mwezi oktoba mwaka jana.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form