Klabu ya Bayern Muncheni inayoshiriki ligi kuu Ujerumani imefanikiwa kushinda ubingwa wa ligi hiyo kwa mara ya nane mfululizo tangu 2013.
Bayern imechukua ubingwa huo baada ya kuipiga klabu ya Werder bao moja kwa sifuri, bao lililofungwa na Lewandowisk dakika ya 43'.
Tags
SPORTS NEWS