Klabu ya Juventus imefanya makubaliano na klabu ya Barcelona juu ya kumsaini nyota wa Barcelona Arthur. Juventus na Barcelona wamekubaliana dau la Paund milioni 72.5 ambayo ni sawa na yuro milioni 80.
Hata hivyo mbali na makubaliano hayo klabu ya juventus bado inatakiwa kumshawishi nyota huyo akubali kujiunga na miamba hao wa Italia ili kukamilisha usajili huo.
Tags
SPORTS NEWS