Mchezo wa kwanza kati ya Juventus na AC Millan ulipigwa mwezi Februari ambapo ulitoka sare ya goli moja kwa moja.
Katika mchezo huo nyota maarufu waklabu ya Juventus Christiano Ronaldo alikosa mkwaju wa penati mnamo dakika ya 16 mara baada ya mchezaji wa timu ya AC Millan Andrea Conti kuunawa mpira katika maeneo ya hatari.
Dakika chache baadae mcezaji wa AC Milani Ante Rebic ambae aliifungia Milani goli pekee katika mchezo wa kwanza uliopigwa mwezi februari alitolewa kwa kadi nyekundu mara baada ya kumchezea rafu mchezaji wa timu ya Juventus Danilo.
Tags
SPORTS NEWS