Kwa mujibu wa Gazeti la The Gurdian ligi kuu nchini Uingereza inatarajia kurudi wiki ijayo lakini hakutakuwa na majina wachezaji nyuma ya jezi kama ilivyozoeleka na badala yake kutakua na maneno "BlackLivesMatter"
Uamuzi huo bado haujakubaliwa na uongozi wa ligi hiyo lakini unabaki kuwa kusudi la vilabu vyote nchini humo.
Tags
TRENDING