BARCELONA YARUDI KWA KISHINDO.



Klabu ya Barcelona imerudi kwa kishindo katika ligi kuu Hispania baada ya mapumziko marefu ya ugonjwa wa COVID 19. Katika mchezo uliopigwa siku ya juma mosi juni 13 Barcelona imeibuka na ushindi wa kishindo baada ya kuichakaza klabu ya Malloraca magoli manne kwa sifuri. 



Magoli yamefungwa na 
A. Vidal   2'
M.Brathwaite   37'
J. Alba   79'
L. Messi    90+3'

Ushindi huo unaiwezesha Barcelona kuendelea kushikilia nafasi ya kwanza katika ligi hiyo wakiongoza kwa pwent tano dhidi ya Real Madrid amabo wanatarajia kuingia dimnbani juma pili juni 14 dhidi ya Eiber.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form