AZAM WAICHAKAZA MBAO MABAO MAWILI KWA SIFURI.


Ushindi wa klabu ya Azam dhidi Mabao unawafanya kuendelea kubakia nafasi ya pili katika ligi ya Tanzania wakiwa wamecheza jumla ya michezo 29 na kuvuna pwenti 57, nyuma ya klabu ya simba ambao wanaongoza ligi hiyo wakiwa na michezo 29 na jumla ya pweni 72.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form